Friday 11 April 2014

EPL: JOSE APIGWA FAINI


Kocha machachari Jose Mourinho apigwa faini na kupewa onyo kali kutokana na vituko vyake uwanjani...Faini hii inatokana na Jose kumfuata refa uwanjani kwenye game kati ya Chelsea na Aston Villa na kumshambulia kwa maneno akitaka kujua kwanini amempa red card Ramires...Jose amesema atakata rufaa...Bofya upate habari zaidi...

No comments:

Post a Comment