Sunday 6 April 2014

EPL: CHELSEA YARUDI KILELENI


Chelsea FC chini ya kocha machachari Jose wameweza kurudi kileleni kwa muda mfupi maana bado ngoma nzito katika ligi hii mwaka huu...Chelsea waliweza kurudi kileleni baada ya kuwachapa Stoke City katika mechi kali na yenye upinzani...Chelsea waliweza kutumia uzoefu na kuweza kupata pointi 3...Dogo kutoka Misri, Mohamed Salah, ndio aliokuwa gumzo kwa sababu siku ambayo amekuwa kwenye first 11 kwa mara ya kwanza ndiyo siku amepata bao...Magoli yalifungwa na Salah dakika ya 32, Lampard dakika ya 61 baadda ya kipa kupangua aliweza kupachika bao, na William alifunga bao zuri dakika ya 72...Bofya hapa usome zaidi...

No comments:

Post a Comment