Tuesday 8 April 2014

2014 NCAA TOURNAMENT: UCONN MABINGWA


University of Connecticut ni mabingwa wa mashindano ya college basketball baada ya kumchapa Kentucky points 60-54...Game ilikuwa kali sana lakini Uconn waliweza kudominate ungwe ya kwanza lakini ungwe ya pili Kentuky waliweza kupunguza tofauti ya points..Shabazz wa Huskies (Uconn) alikuwa ndio gumzo huko Arlington Texas kwakuwa kila akiruka anapachika mpira...


Shabazz pia amekuwa MOP (Most Outstanding Player) wa mchezo huo wa fainali za March Madness...Hii ndio shule aliyesoma na timu aliyechezea Hasheem Thabit mtanzania anayechezea NBA timu ya Oklahoma...Huskies mwaka jana tu walifungiwa kucheza kutokana na issue za shule na pia kocha wao akasepa walivyo kuwa wanafungwa na watu hawakuipa matumaini kama wataweza ball...Lakini wamewashangaza watu na wahasimu wao kwa kuibuka washindi wa 'March Madness'....Bofya hapa ypate habari zaidi...

No comments:

Post a Comment