Wednesday 19 March 2014

UEFA CHAMPIONS LEAGUE: CHELSEA YASONGA MBELE



Chelsea F.C. jana ilisonga mbele na kuingia robo fainali ya michuano mikali ya Champions League...Chelsea ni timu ya kwanza ya Uingereza kuingia robo fainali mwaka huu...Galatasaray walichapwa 2-0 na Chelsea kaika game ambayo ilionyesha udhaifu wa Galatasaray...Samuel Etoo alipachika bao zuri mapema mnamo dakika ya 4...Baada ya hapo Chelsea walikuwa imara na kupata bao la 2 kutoka kwa Gary Cahill dakika ya 42...Sasa ni mara ya 6 Roberto Mancini boss wa Galatasaray ameshindwa kumfunga Jose katika mechi za Europe...Pata babari zaidi hapa

No comments:

Post a Comment