Wednesday 19 March 2014

MOTOGP: MSIMU UNAANZA WEEKEND


Kwa wale wapenzi wa mashindano ya pikipiki MotoGP watafurahi kusikia msimu wa mwaka huu unaanza jumapili weekend hii...MotoGP mwaka huu ambayo itaanza huko Losail Qataar itakuwa na racing circuit mpya huko Argentina...Bingwa wa MotoGP mwaka jana Marc Marquez katika jaribio lake la kwanza alishinda mashindano hayo na mwaka huu ni mmoja wa watu wanaotazamiwa kufanya vizuri japo alivunja mguu mwezi uliopita...Pata habari za MotoGP hapa

No comments:

Post a Comment