Sunday 30 March 2014

TENNIS: SERENA NI BINGWA SONY OPEN


Serena Williams ameshinda Sony Open kwa mara nyingine tena kwa kumchapa Li Na straight sets 7-5 6-1...Serena sasa anatwaa huo ubingwa kwa mara ya 7 sasa...Li Na ambaye ni namba 2 duniani katika miaka 6 sasa hajawahi kumfunga Serena na pia kati ya mechi 12 ameshinda moja tu...Bofya hapa upate habari zaidi...


No comments:

Post a Comment