Friday 7 March 2014

WORLD CUP: CAMEROON WATAJIFUA NA PARAGUAY


Matayarisho ya mwishoni ya World Cup tutaiona timu ya Cameroon ikizichapa na Paraguay kwenye uwanja Kufstein huko Austria...Cameroon wanajitayarisha kwa kucheza mechi mbili kabla ya juingia Brazil...Watacheza na Paraguay na Macedonia katika huo huo uwanja wa Kufstein... Max Sports inazitakia timu zote za Africa heri katika World Cup ya Samba huko Brazil...

No comments:

Post a Comment