Monday 10 March 2014

NFL: MMILIKI WA LIONS AFARIKI DUNIA


William Clay Ford alizaliwa kwenye pesa nyingi lakini hakutaka kujulikana sana alikuwa anaendesha biashara za kifamilia na ndio aliyekuwa mweye timu ya Detroit Lions...Alikuwa anajulikana sana kama Mr. Ford alikuwa mjukuu pekee aliyebakia wa mtengeneza magari aliyebadilisha jinsi magari yanavyotengenezwa kwa kutumia 'Assembly line' bwana Henry Ford amefariki jana Jumapili akiwa na miaka 88...Campuni ya Ford Motor Co. walitangaza kwamba Mr. Ford alifariki kutokana na kuugua Pneumonia nyumbani kwake Grosse Pointe  ...Apumzike kwa amani...Bofya hapa upate habari zaidi...

No comments:

Post a Comment