Sunday 16 March 2014

EPL: VILLA YAINYAMAZASHA CHELSEA


Aston Villa jana waliwanyamazisha Chelsea F.C. na kocha wao Jose kwa kuchapwa 1-0 huko Villa Park...Game ilikuwa kali sana na Villa walikuwa makini kukabili mashambulizi ya Chelsea...Chelsea walikataliwa goli kutokana na mwamuzi kuona mchezaji kashika mpira lakini Villa walikomaa na goli lilipatokana kutoka cross ya chini kutoka kwa Albrighton na kumfikia Fabian Delph na akapachika goli zuri kwa kiganja cha nyuma...Williams alitolewa nje ya uwanja kutokana na fouls zake 2 pia Ramires alicheza rough mbaya nakutolewa nje pia...

Haikuishia hapo pia Jose kwa kelele zake pia aliambiwa asepe (aondoke) akakae na mashabiki...Sasa Chelsea imesimamishwa kasi kwani wanaongoza na walitakiwa kushinda hii game ili wawe nafasi nzuri ya kuchukua ubingwa...Bofya hapa upate habari zaidi...

No comments:

Post a Comment