Friday 28 March 2014

EPL: ARSENAL KUCHEZA NA NEW YORK RED BULL


Arsenal inatarajiwa kusafiri kwenda Marekani kucheza na New York Red Bull katika mechi ya kirafiki July 26...Arsenal itakutana na Red Bull ambayo ni timu anayoichezea nyota wa mpira wa miguu Thierry Henry...Henry aliwahi lkuichezea Arsenal na kipindi hicho alipokuwa huko alipata mabao 226...Hii itakuwa mara ya kwanza Arsenal inasafiri toka mwaka 1989 walipoenda kucheza na timu ya Argentina inayoitwa Independiente....Timu ya Henry ina Tim Cahill ambaye alikuwa star wa Everton na pia mtoto wa legend wa Arsenal Ian Write, Bradley Wright-Phillips, pia yuko na Henry...Bofya hapa upate habari zaidi...

No comments:

Post a Comment