Monday 3 March 2014

CAPITAL ONE CUP: MANCHESTER CITY YACHUKUA KOMBE


Manchester City jana ilishinda kombe la Capital One Cup kwenye uwanja wa Wembley....Ni kombe la kwanza kwa Manager wa City, Manuel Pellegrini kuchukua akiwa na City...Timu zote zilicheza vizuri sana hasa Sunderland kipindi cha kwanza...Sunderland walijitahidi kuwatuliza City na kupata bao moja kipindi cha kwanza...kipindi cha pili game ikabadilika na City wakawachenjia Sunderland kwa pasi ndefu na uzoefu wa chenga na hatimaye dakika ya 55 Yaya Toure alipachika bao zuri sana kutoka yadi 25 na kuingia golini juu kushoto, badae Nasri nae alipiga shuti kali na kumwacha kioa wa Sunderland kasimama akiangalia mpira unavyoingia wavuni...Substitute Jesus Navas mwishoni alipachika bao la 3...Bofya upate habari zaidi...

No comments:

Post a Comment