Monday 17 March 2014

EPL: ARSENAL YAISIMAMISHA TOTTENHAM



Arsenal jana iliwasimamisha wapinzani wake wakubwa na majirani North London Tottenham kwa kuwafunga 1-0...Goli lilipatikana dakika za mwanzo tu za mchezo ambapo Rosysky alifunga goli kali sana kwa kupiga shuti kali ambalo liliona mpira ukikata kona na kutingisha wavu...Game ilianza kubadilika na Tottenham wakaja juu na kushambulia sana lango la Arsenal lakini mabeki walikuwa makini sana...Adebayor alikosa magoli kadhaa na ilibidi akate tamaa kwani Arsenal walikuwa wamejipanga...Baada ya kula kichapo kwa Chelsea 4-0, Benfika 3-1 na Arsenal 0-1 Tottenham wameharibu nafasi yao yakuwania ubingwa na kunfaya kocha wao Tim Sherwood kuchanganyikiwa kiaina na kulaumu wachezaji wake kwamba hawana uthubutu na utu...Bofya hapa upate habari zaidi...

No comments:

Post a Comment