Wednesday 26 March 2014

EPL: MAN U HAWANA KIWANGO CHA KUCHEZA NA MAN CITY


Manchester United sasa inaonekana haina tena kiwango cha kucheza na timu kubwa za ligi ya Uingereza baada ya kudhihirisha hiyo jana wakati wakila kichapo cha Manchester City kwao...Bao la kwanza kabisa lilikuja mwanzo mwa dakika ya kwanza kutoka kwa Dzeko...Huyo huyo Dzeko alipachika cha pili mwanzo wa kipindi cha pili mnamo dakika ya 56...Yaya Toure alimalizia dakina za nyingeza na Man City iliondoka na pointi 3 na magoli 3...Hii imemweka kocha wa Man U David Moyes katika hali mbaya ya kutafakari kazi yake au abadilishe kazi labda akalime viazi au akavue samaki...Katika siku za mbele tutajua mambo yatavyo kwenda na club hiyo kubwa sana ya Manchester United...Bofya hapa pate mambo zaidi...

No comments:

Post a Comment