Thursday 13 March 2014

UEFA CHAMPIONS LEAGUE: BARCA YAITOA MAN CITY



Barcelona wanaendelea na kasi yao ya kuwania Ubingwa wa Ulaya baada ya kuichapa Manchester City 2-1 katika uwanja wa Camp Nou huko Spain...Wafungali walikuwa Lionel Messi dakika ya 67 na Dani Alves dakika ya 90...Vincent Kompany alipatia Man City bao mwishoni nmano dakika ya 89 lakini haikusaidia na walitolewa nje ya mashindano hayo kwa aggregate ya 4-1...Mambo ndio yalivyokuwa hapo chini...Barca wakiongoza possession kama kawaida yao...








15(7) Shots (on goal) 11(4)
8 Fouls 23
5 Corner kicks 4
3 Offsides 2
57% Time of Possession 43%
1 Yellow Cards 3
0 Red Cards 1
3 Saves 5


No comments:

Post a Comment