Wednesday 12 March 2014

NBA: KOBE BRYANT ANAWEZA ASIRUDI MSIMU HUU


Kuna tetesi ambazo zimetoka ESPN na wao wamezipata kutoka jikoni kwamba 'Black Mamba' anaweza kupumzishwa mpaka msimu ujao na daktari wake wa timu Stephen Lombardo atatoa ripoti ya maendeleo yake...Kobe alivunja goti (fracture of the lateral tibial plateau) na kukaa nje bila kucheza kwa muda mrefu sana...Kobe alicheza game 6 tu na alipata wastani wa pointi 13.8, assist 6.3, na rebounds 4.3...Bofya hapa upate habari zaidi...

No comments:

Post a Comment