Monday 17 March 2014

TENNIS: NOVAK ASHINDA INDIAN WELLS


Novak Djokovic ameshinda michuano mikali wa BNP Paribas huko Indian Wells, California, Marekani...Djokovic alimchapa Roger Federer kwenye game kali ambapo Djokovic alipoteza set ya kwanza na kuchinda kwa set ya mwisho kwa tie-break...


Djokovic hakuwa katika form yake ya kawaida lakini alipambana sana na set ya tatu alikosa kumalizia 5-4 kwa serve lakini aliweza kushinda kwenye tie-break...Djokovic alifungwa na Roger mwezi uliopita huko Dubai kwahiyo ushindi huu ni kama revenge...Pata habari zaidi za tennis hapa...

No comments:

Post a Comment