Monday 3 March 2014

LA LIGA: REAL YALAZIMISHA SARE NA ATLETICO


Jana timu za eneo moja zilikutana katika mechi kali sana ambapo timu zote mbili Atletico Madrid na Real Madrid zinawania ubingwa wa Spanish La Liga...Timu zote ziko juu ya table na ni timu kali sana lakini jana timu hizo zilitoka sare 2-2 kwenye uwanja wa Atletico...Karim Benzema ndio aliyefungulia magoli kwa kuwapa Real goli lakini Koke alirudisha kwa shuti la chini chini....Captain wa Atletico, Gabi, akawaweka juu baada ya shuti kali la mbali na kupachika bao kabla ya half-time...Ila dogo Ronaldo alirudisha bao mwishoni na kuwaweka Real sawa na Atletico 2-2...Pata habari zaidi ya hii derby hapa...

No comments:

Post a Comment