Monday 3 March 2014

GHANA: MENSAH NA BOYE WARUDI KIKOSINI


Center back wawili wa Ghana Jonathan Mensah na John Boye sasa wako fit kuchezea timu yao ya taifa kwenye mechi ya kupasha misuli na kujitayarisha na World Cup dhidi ya Montenegro tarehe 5 Machi...



Kikosi ya watu 21 cha kocha Kwesi Appiah kiko tayari kuzichapa na Montenegro baada ya Boye na Mensah kurudi baada ya kuumia...Kocha Appiah amemtema kipa namba 1 Fatau Dauda kwasababu hakupata muda wa kutosha akiwa Orlando Pirates...Bofya hapa upate squad ya Ghana ambayo itakuwa uwanjani tarehe 5 Machi...

No comments:

Post a Comment