Sunday 30 March 2014

F1: LEWIS HAMILTON ASHINDA MALAYSIAN GP


Lewis Hamilton aibuka mshindi Malaysian Grand Prix.


Mercedes Benz wamechukua nafasi mbili za juu.

Nico Rosberg amekuwa wa pili akifuatiwa na Sebastian Vettel wa Red Bull.

Toka kona ya kwanza Hamilton aliweza kuwaacha wenzake na kushikilia nafasi yake ya ya kwanza wakati Nico alishindwa kumfukuza mwenzake alihakikisha anamzuia Vettel kumpita.

Ferarri walichukua nafasi ya 4 wakiwa na Fernando Alonzo na nafasi ya 5 ilichukuliwa na timu ya Force India chini ya Daniel Ricciardo...

No comments:

Post a Comment