Tuesday 11 March 2014

CHESS: GRANDMASTER AITEMBELEA TANZANIA



Garry Kasparov ambaye pia ni Grandmaster wa Chess duniani alitembelea Tanzania na kufurahishwa na jinsi Chess inavyotumika kuendeleza uelewa wa mambo mengi kwa watoto....Kasparov anapromote chess mashuleni na program ya 'Chess for Grades' au Chess kwa matokeo...

Kasparov alikutana na Waziri Dr. Fenella Mukangara na wajumbe wa Tanzania Chess Foundation na Tanzania Chess Association...Alipokuwa hapa alitembelea shule ya Shaaban Robert na kuongea na watoto juu ya umuhimu wa chess..Bofya hapa upate habari na picha kamili ya ziara yake Tanzania..

No comments:

Post a Comment