Monday 3 March 2014

BENFICA / PORTUGAL: MARIO COLUNA AFARIKI


Captain wa Benfica na Portugal wa zamani Mario Coluna kutoka Mozambique amefariki dunia akiwa na miaka 78 kutokana na infection kwenye mapafu...Mario Coluna ni legend wa mpira wa miguu kutokana na mchango wake katika timu ya Benfica ambapo aliwasaidia kuchukua European Cup 1961 na 1962 na kuwa Captain wa Portugal na kuwafikisha nafasi ya 3 mwaka 1966...

Coluna alikuwa anacheza nafasi ya midfield na alikuwa makini sana kusukuma wachezaji wake...Kati ya mechi 677 alizocheza Benfica alifunga magoli 150...Mwishoni mwa career yake aliamua kurudi kwao Mozambique ambapo alichaguliwa kuwa kocha wa timu ya taifa...Alivyokuwa nyumbani alichaguliwa kuendesha shirikisho la mpira na pia aliteuliwa kuwa Waziri wa michezo...Serikali ya Mozambique itampatia heshima zote kwenye mazishi yake...Apumzike kwa amani...Soma zaidi umjue Mario Coluna hapa...

No comments:

Post a Comment