Saturday 15 March 2014

F1: HAMILTON KUANZA MBELE AUSTRALIAN GRAND PRIX KESHO


Lewis Hamilton ataongoza timu yake ya Mercedes Benz kesho kwenye mashindano ya kufungua msimu ya Formula One (F1) kesho huko Melbourne Australia...Hamilton aliwashinda wenzake kwenye na kuchukua nafasi ya kwanza akufuatiwa na Riccardo wa timu ya Red Bull na wa 3 Nico Rosberg wa timu ya Hamilton ya Mercedes na wa 4 Kevin Magnusuun kutoka McLaren ambaye ndio ameanza kwa mara ya kwanza kuiendeshea McLaren...Bingwa wa mwaka jana Sebastian Vettel wa Red Bull amekuwa wa 13...Usikose mashindano haya makali ya Melbourne Australia kesho...Bofya hapa upate habari za f1...

No comments:

Post a Comment