Thursday 27 March 2014

VPL: YANGA YAGARAGAZA PRISONS


Yanga jana iliigaragaza vibaya sana Tanzania Prisons mabao 5 kwa 0...Yanga ilikuwa inashambulia Prisons sana na kukosa nafasi nyingi tu za kupata magoli...Yanga bado iko nafasi ya pili wakikimbizana na Azam F.C. ambao wameshikilia kileleni kwa muda...Azam nao walishinda game yao na JKT Mgambo mabao 2 kwa 0...Sasa wana ponti 50 na Yanga 46...Kila timu lazima ishinde la sivyo ubingwa unayeyuka...

No comments:

Post a Comment