Wednesday 5 March 2014

BARCA: PUYOL KUONDOKA


Captain wa Barcelona, Carles Puyol, ataondoka Barca mwisho wa msimu huu...Contract yake inatakiwa kuisha 2016 lakini ameamua kuondeka mapema na uongozi wa Barca umekubali aondoke...Beki huyo makini amesema baaada ya kuondoka Barca hajui atafanya nini lakini anahitaji kupumzika kwanza...Baada ya operation 2 za goti Puyol hajarudi kwenye form na ndio maana ameamua kupumzika...Amekaa miaka 19 na club hiyo na amesaidia Barca kushinda ligi mara 6, Champions League mara 3, na Spanish Cup mara 2...Soma zaidi hapa...

No comments:

Post a Comment