Tuesday 4 March 2014

NBA: LeBRON AWEKA FRANCHISE RECORD


MVP LeBron James ameweka franchise record na career record kwa kupata 61 points...LeBron ambaye ni MVP wa mwaka jana bado anawania hiyo nafasi kwani bado yuko fiti balaa...game yao ilikuwa dhidi ya Charlotte Bob Cats na Miani walishinda 124-107...Ushindi huo ni mwendelezo wa ushindi wa game 8 mfululizo...

LeBron alipachika 3-pts nane na kati ya shots 33 alipata 22...Bofya hapa upate kuona jinsi LeBron alivyofanya vituz...

No comments:

Post a Comment