Sunday 23 March 2014

EPL: ARSENAL YAPOTEZA MECHI MUHIMU


Wakati timu ya Arsenal ikisherehekea game ya 1,000 ya kocha Arsene Wenger jana ilipoteza pointi tatu muhimu kwa Chelsea F.C. huko Stamford Bridge...Mechi ilianza kwa magoli mawili mapema ambayo iliona defence ya Arsenal kusambaratika vibaya...Mechi ilikuwa na vituko baada ya Oxlade-Chamberlain kunawa mpira kwa maksudi na mwamuzi kumpa Gibbs kadi nyukundu badala ya Chamberlain...Kosa hilo la refa ni gumzo mitandao yote ya habari duniani na inaleta hisia ya kuwa na haja ya tv replay kwenye games...Baada ya ubishi huo Hazard alifunga penalty na kufanya the blues wawe mbele magoli matatu...Pata habari zaidi hapa

No comments:

Post a Comment