Sunday 23 March 2014

NCAA MARCH MADNESS: SYRACUSE NJE


Mashindano ya NCAA kipindi hiki tumeona maajabu kwani timu kongwe na zenye ranking za juu zinatolewa mapema tu...Jana Syracuse ilitolewa na timu ndogo sana inayoitwa Dayton huko Buffalo New York...Game iliisha 55-53 baada ya point guard maarufu wa Syracuse Tyler Ennis kukosa kupachika mpira wavuni...Dayton wamengojea hii nafasi kwa miaka 30 sasa...Huko marekani wanaita ushindi kama huu 'Cinderella story' wakichukulia mfano kitabu cha watoto cha Cinderella...Bofya hapa upate habari hii kwa undani...

No comments:

Post a Comment