Monday 10 March 2014

LIGI YA MABINGWA AFRIKA: YANGA YATOLEWA


Young Africans, Yanga, wakiongozwa na makamu mwenyekiti bwana Clement Sanga jana walitolewa kwenye mashindano ya ligi ya mabingwa Afrika huko Alexandria Egypt....Yanga ilitolewa mwishini kwenye matuta ambapo ilianguka kwa Al Ahly 4-3...Katika dakika ya 70 Al Ahly wapipata bao ambalo lilisababisha penalties mwishoni...Matuta yalikuwa na raha yake lakini mabeki Oscar joshua na Mbuyu Twite walikosa magoli lakini pia kipa Deo Munishi alipangua mawili....Macho yote yalikuwa kwa Said Bahanuzi ambaye angepachika Yanga ingeshinda...

No comments:

Post a Comment