Wednesday 26 March 2014

EPL: REFA AOMBA RADHI


Refa Andre Marriner ameomba radhi kwa kosa la kumpa hatimaye kumtoa uwanjana mchezaji ambaye hajafanya kosa...Refa huyo alichemsha baada ya kumtoa Kiran Gibbs kwenye mechi ya Arsenal na Chelsea...Kosa hilo lilitokea baada ya Oxlade-Chamberlain kuunawa mpira kwa maksudi ndani ya box na kutopewa kadi na refa kumpa Gibbs kadi nyekundi...Pamoja na Chambarlaine kumwambia mwamuzi kwamba yeye ndio ametenda kosa refa hakutaka kumsikia...Mkongwe wa marefa kutoka Uingereza na World Cup (1974 Germany na 1978 Argentina) Clive Thomas amesema hana imani na marefa wa sikuizi na hao marefa wote wanne wa hiyo mechi ya Arsenal na chelsea wangefungiwa msimu huu wote...Bofya hapa upate habari zaidi...

No comments:

Post a Comment