Monday 17 March 2014

F1: ROSBERG ASHINDA AUSTRALIAN GRAND PRIX




Nico Rosberg (Mercedes Benz) alishinda Australian GP huko Melbourne katika mashindano makali na magumu kutokana na mabadiliko ya sheria ya F1 mwaka huu...Wa pili alikuwa Daniel Ricciardo (Red Bull) lakini alivuliwa hiyo nafasi kutokana na kukiuka moja ya sheria ya mafuta (low-fuel rate infringement) kwahiyo Kevin Mangussen (McLaren) alichukua nafasi ya pili na watatu Jensen Button (McLaren) akifuatiwa na Fernando Alonzo (Ferrari)...Lewis Hamilton alishindwa kumaliza mashindano kutokana na gari yake kupata hitilafu ya cylinder pia bingwa wa mwaka jana alilazimika kupumzika baada ya gari yake kupata tatizo la kuishiwa nguvu...

Lap ya kwanza ilitokea ajali mbaya ambayo ilimlazimisha Kobayashi kupumzika baada ya kugongwa na Felipe Massa...Sama zaidi habari za F1 hapa...

No comments:

Post a Comment