Thursday 13 March 2014

SQUASH: NICK MATTHEW ASHINDA MARA YA 6 NATIONAL SQUASH CHAMPIONSHIP


Nick Matthew ameshinda tena mashindano makali ya National Squash Championship.

Nick ambaye ni namba 1 duniani sasa alimchapa James Willstrop 5-11 12-10 11-4 11-8 kwa dakika 72.

Ni mara ya tatu hawa jamaa wanakutana kuutafuta huu ubingwa na mara zote Nick anashinda.

Pia mdada Alison Waters, 29, alitetea ubingwa wake na kuchapa Madeline Perry 11-3 11-6 11-6.

No comments:

Post a Comment