Sunday 30 March 2014

EPL: ARSENAL YAITULIZA MAN CITY


Arsenal ilituliza makeke ya Man City na kutoka nao sare ya 1-1...Arsenal ilikuwa imekuja kucheza mpira na Man City wakishangaa jinsi Arsenal ilivyokuwa makini....Man City walijitahidi na kupata goli la kwanza lakubahatisha dakika ya 18 kupitia David Silva...Lakini Arsenal ilicheza mpira wa akili sana na dakika ya 53 Flamini aliweza kupachika bao...Man City waliendelea kukimbizwa pamoja na refa kuwabeba walishindwa kupata goli mpaka dakika ya mwisho...Man city ilikuwa wakae kileleni kwa tofauti ya magoli kutokana na Chelsea kuuza (kufungwa) game yao dhidi ya Crystal Palace...Bofya hapa upate mambo zaidi..

No comments:

Post a Comment