Wednesday 12 March 2014

UEFA CHAMPIONS LEAGUE: ARSENAL & AC MILAN NJE



Arsenal na AC Milan zilijikuta nje ya michuano mikali ya kuwania ubingwa baada ya kutolewa nje kwa aggregate ya 3-1 na 5-1...Mechi ya Arsenal na Bayern Munich iliisha 1-1 na kwa bahati mbaya Mesut Ozil aliumia hamstring na atakuwa nje kwa muda usiojulikana...AC Milan walipigwa 4-1 na Atletico Madrid na kujikuta wanarudi nyumbani hawana raha kabisa...Atletico wanaingia robo fainali kwa mara ya kwanza toka 1997...Pia tuliona jinsi ambavyo Diego Costa anaongeza rekodi yake ya kufunga kila mechi ya Champions League...Pata mambo zaidi kwa kubofya hapa...

No comments:

Post a Comment