Sunday 2 March 2014

EPL: ALAN PARDEW APIGWA FAINI KWA KUMPIGA KICHWA MCHEZAJI


Alan Pardew amepigwa faiani kwa kumpiga kichwa mchezaji wa Hull...Hii ilitokea baada ya huyo mchezaji kufuata mpira nje na kusukuma kocha huyo na mzozo ukaanza na kocha akampiga kichwa huyo mchezaji...Baada ya hiyo fracas kubwa kutokea Refa alimpeleka huyo kocha kwenye viti...Alan amepigwa faini ya pound za Uingereza 100,000 na timu yake ya Newcastle na pia timu hiyo imetoa samahani kwa mchezaji aliyepigwa kichwa....Bofya hapa upate habari za fracas...

No comments:

Post a Comment