Wednesday 19 March 2014

VPL: SIMBA SASA KUWA NA RAIS


Simba S. C. wana wa msimbazi katika mkutano wao uliofanyika Police Officers Mess jiji Dar es Salaam chini ya usimamizi wa Chairman Ismail Aden Rage (Mbunge wa Tabora) ulikubali kubadilisha katiba ya club kwa kutoa Chairmanship na kuweka President na Vice-President...Kwahiyo mabadiliko yatapelekwa kwa mratibu wa association za michezo Tanzania ili irekebishwe...Issue nyingine iliyokuwa ya moto kwenye hicho kikao ni ile ya maximum wanachama 250 au 500 kwa kata na branch ziongezwe...Mzozo ulikuwa mkubwa mpaka watu wakavamia meza ya viongozi lakini Rage alitumia busara na aliwatuliza na kuwaambia wapige kura na kura zilipigwa walioshinda ni wale waliotaka watu wasizidi 250 kwa kata...Bofya hapa upate habari zaidi....

No comments:

Post a Comment