Arsenal na England midfielder, Jack Wilshire, atakuwa nje kutokana na kuvunjika mguu wa kushoto (hairline fracture) kwa muda usiopungua wiki 6...Jack mwenye umrui wa miaka 22 aliumia baada yakukwatuliwa na Daniel Agger (mchezaji wa liverpool) dakika ya 12 tu baada ya mechi kuanza...Atakosa mechi muhimu ya robo fainali za FA jumamosi na Champions League na Bayern marudiano jumanne...Pata habari zaidi hapa...
Max Sports brings you the latest sports news, reviews, statistics, videos, documentaries and more from across the globe 🌎!
Friday, 7 March 2014
EPL: JACK WILSHIRE NJE WIKI 6
Arsenal na England midfielder, Jack Wilshire, atakuwa nje kutokana na kuvunjika mguu wa kushoto (hairline fracture) kwa muda usiopungua wiki 6...Jack mwenye umrui wa miaka 22 aliumia baada yakukwatuliwa na Daniel Agger (mchezaji wa liverpool) dakika ya 12 tu baada ya mechi kuanza...Atakosa mechi muhimu ya robo fainali za FA jumamosi na Champions League na Bayern marudiano jumanne...Pata habari zaidi hapa...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment