Thursday 27 March 2014

NBA: INDIANA YAIPOOZA HEAT


Indiana Pacers ilikuwa na mechi ngumu lakini kila wakipelekewas game wanajibu na mwisho wakashinda 84-83 katika game kali dhidi ya Miami Heat...Miami Heat wamepoteza game nyingi na hii ilikuwa game yao kushinda lakini hawakuwa makini na time management mwishoni...LeBron James alipata points 38 kwani kila akiruka au akiingia kwenye 'paint' anafanya mambo lakini alikuwa na upinzani mgumu kutoka kwa Paul George na Roy Hibert na timu nzima ya Pacers ambao pia walikuwa makini na kufunga wakati unaotakiwa ingawa walikuwa points 7 nyuma kipindi cha 4 waliweza kuibuka na ushindi baada ya Chris Bosh kujaribu kufunga na kukosa kabisa rim au wanasema 'air ball' kwa lugha ya basketball...Bofya hapa upate habari zaidi...

No comments:

Post a Comment