Friday 14 March 2014

F1: HAMILTON AONGOZA JARIBIO LA 2


Lewis Hamilton alikuwa katika hali nzuri wakati alipo ongoza muda wa majaribio kabla ya msimu kuanza Jumapili huko Melbourne Australia...Hamilton aliweza kuchukua nafasi ya kwanza na Nico Rosberg pia wa timu hiyo hiyo ya Mercedes Benz alichukua nafasi ya 2 na Alonzo nafasi ya 3...Katika session ya kwanza Hamilton alipata matatizo kwenye gari yake kutokana na oil sensor kutofanya kazi lakini sasa anaonyesha kwamba yuko tayari msimu huu kupambana na bingwa Vettel na wengine...Bofya hapa usome zaidi...

No comments:

Post a Comment