Friday 21 March 2014

NCAA MARCH MADNESS: LOUISVILLE YATOKA NYUMA NA KUICHAPA MANHATAN


Timu ya kocha Rick Pitino, Louisville, jana iliweza kutoka nyuma na kuifunga Manhatan 71-64...Pitino hakutaka kuisikia Manhatan kabisa kwa kuwa ni timu yenye rank ya 13 na pia kocha wa Manhatan alikuwa kocha msaidizi wa Pitino...Pitino alikasirika timu yake ilivyopewa Manhatan kama mpinzani wake...Manhatan walicheza vizuri na kuwakimbiza mabingwa wa mwakajana Louisville mpaka kipindi cha mwisho kabla ya filimbi ma dakika 4 mpira kuisha walikuwa wanaongoza 58-55 lakini dogo mmoja kwa jina la Luke Hancock aliporuka na kupachika 3 points wakati saa inasema bado dakika 1 na sekunde 19...Pitino na timu yake watakutana na Saint Louis jumamosi...Bofya hapa upate habari zaidi....

No comments:

Post a Comment