Sunday, 30 March 2014

EPL: MSIMAMO WA LIGI MPAKA SASA

CLUB PWDLGDPTS
Liverpool3222554971
Chelsea3221653869
Man City3021455267
Arsenal3219761964
Everton3117951860
Tottenham3217510-456
Man Utd32166101454
Southampton3213910948
Newcastle3214414-946
Stoke32101012-840
West Ham319715-734
Aston Villa319715-1234
Swansea328915-333
Hull329617-733
Norwich328816-2532
C Palace319418-1931
West Brom3151412-1229
Cardiff326818-3226
Sunderland296716-1925
Fulham327322-4224

EPL: MATOKEO YA MECHI ZA LEO

Sunday, March 30, 2014
StatusHomeScoreAwayVenue
FT Fulham 1-3 Everton Craven Cottage (25,454)
FT Liverpool 4-0 Tottenham Hotspur Anfield (44,762)

EPL: MATOKEO YA MECHI ZA JANA

Saturday, March 29, 2014
StatusHomeScoreAwayVenue
FT Manchester United 4-1 Aston Villa Old Trafford (75,368)
FT Crystal Palace 1-0 Chelsea Selhurst Park (25,166)
FT Southampton 4-0 Newcastle United St. Mary's Stadium (31,360)
FT Stoke City 1-0 Hull City Britannia Stadium (27,029)
FT Swansea City 3-0 Norwich City Liberty Stadium (20,371)
FT West Bromwich Albion 3-3 Cardiff City The Hawthorns (25,661)
FT Arsenal 1-1 Manchester City Emirates Stadium (60,060)

EPL: ARSENAL YAITULIZA MAN CITY


Arsenal ilituliza makeke ya Man City na kutoka nao sare ya 1-1...Arsenal ilikuwa imekuja kucheza mpira na Man City wakishangaa jinsi Arsenal ilivyokuwa makini....Man City walijitahidi na kupata goli la kwanza lakubahatisha dakika ya 18 kupitia David Silva...Lakini Arsenal ilicheza mpira wa akili sana na dakika ya 53 Flamini aliweza kupachika bao...Man City waliendelea kukimbizwa pamoja na refa kuwabeba walishindwa kupata goli mpaka dakika ya mwisho...Man city ilikuwa wakae kileleni kwa tofauti ya magoli kutokana na Chelsea kuuza (kufungwa) game yao dhidi ya Crystal Palace...Bofya hapa upate mambo zaidi..

F1: LEWIS HAMILTON ASHINDA MALAYSIAN GP


Lewis Hamilton aibuka mshindi Malaysian Grand Prix.

TENNIS: SERENA NI BINGWA SONY OPEN


Serena Williams ameshinda Sony Open kwa mara nyingine tena kwa kumchapa Li Na straight sets 7-5 6-1...Serena sasa anatwaa huo ubingwa kwa mara ya 7 sasa...Li Na ambaye ni namba 2 duniani katika miaka 6 sasa hajawahi kumfunga Serena na pia kati ya mechi 12 ameshinda moja tu...Bofya hapa upate habari zaidi...


Saturday, 29 March 2014

TENNIS: SERENA KUZICHAPA NA LI NA


Serena Williams kwa mara ya 15 sasa kamchapa maria Sharapova na kuingia fainali na mkali wa tennis kutoka China Li Na katika michuano mikali ya tennis ya Sony Open huko Miami Marekani...Li na alimchapa Dominika  Cibulkova 7-5 2-6 6-3...Serena ni namba 1 duniani na Li na ni namba 2 katika rankings za dunia...Bofya hapa usome zaidi...

TENNIS: RAFAEL NADAL NA NOVAK DJOKOVIC KUKUTANA SONY OPEN


Wakali wa Tennis Rafael Nadal na Novak Djokovic watakutana tena kwenye fainali za Sony Open huko Miami Marekani...Rafa alifika fainali baada ya mpinzani Tomas Berdych wake kujitoa kutokana na na matatizo ya tumbo...Novak Djokovic pia aliweza kuingia fainali bila shida baada ya mpinzani wake kutoka Japan Kei nishikori kujitoa baada ya kupata maumivu....Bofya hapa usome zaidi...

CHAMPIONSHIP: TIMU KALI ZINAKUTANA LEO

Leicester timu inayoongoza mashindano ya Championship ambayo yako cini ya Premiership leo watakutana na Burnley ambao ni namba mbili kwenye ligi hiyo wote wakufukuzia kombe hilo kubwa...Mechi ndio imeanza mida hii...Usikose kucheki hii mechi...Hapo chini ni msimamo wa ligi hiyo...



Burnley v Leicester (1215 GMT)
Championship table


Unaweza kupata Live Comentary hapa...

F1: HAMILTON KUONGOZA MASHINDANO YA MALAYSIA GP


Dereva wa timu ya Mercedes Benz, Lewis Hamilton, ameongoza qualifying race ya mwisho na atakuwa wa kwanza mstari wa mbele kuanza mashindano hayo kesho...Lewis alimpita bingwa wa mwaka jana sekunde 0.055 kuchukua nafasi ya kwanza...Vettel na timu yake ya Red Bull wa pili na Nico Rosberg ambaye pia yuko timu ya Mercedes Benz alimpita Fernando Alonzo wa Ferrari kuchukua nafasi ya 3...Qualifying track ya leo ilikuwa inamaji sana kutokana na mvua na pia ilisababisha magari mengi kugongana na mengine kutoka nje ya track yenyewe...Lewis ni mara ya 33 sasa kuanza mbele ya grid na amefikia rekodi ya Jim Clark ambaye ni mwingereza mwenzake...Jim Clark alikuwa dereva wa timu ya Lotus na alikuwa mkali sana miaka ya 1963-1968...Alifariki kwenye ajali ya gari (Formula Two) huko Hockeinheim Ujerumani mwaka 1968...Bofya hapa upate habari zaidi...

Friday, 28 March 2014

EPL: ARSENAL KUCHEZA NA NEW YORK RED BULL


Arsenal inatarajiwa kusafiri kwenda Marekani kucheza na New York Red Bull katika mechi ya kirafiki July 26...Arsenal itakutana na Red Bull ambayo ni timu anayoichezea nyota wa mpira wa miguu Thierry Henry...Henry aliwahi lkuichezea Arsenal na kipindi hicho alipokuwa huko alipata mabao 226...Hii itakuwa mara ya kwanza Arsenal inasafiri toka mwaka 1989 walipoenda kucheza na timu ya Argentina inayoitwa Independiente....Timu ya Henry ina Tim Cahill ambaye alikuwa star wa Everton na pia mtoto wa legend wa Arsenal Ian Write, Bradley Wright-Phillips, pia yuko na Henry...Bofya hapa upate habari zaidi...

EPL: RATIBA YA MECHI ZA WEEKEND

Saturday, March 29, 2014
TimeHome AwayVenue
12:45 GMT Manchester United  v  Aston Villa Old Trafford
15:00 GMT Crystal Palace  v  Chelsea Selhurst Park
15:00 GMT Southampton  v  Newcastle United St. Mary's Stadium
15:00 GMT Stoke City  v  Hull City Britannia Stadium
15:00 GMT Swansea City  v  Norwich City Liberty Stadium
15:00 GMT West Bromwich Albion  v  Cardiff City The Hawthorns
17:30 GMT Arsenal  v  Manchester City Emirates Stadium
Sunday, March 30, 2014
TimeHome AwayVenue
12:30 GMT Fulham  v  Everton Craven Cottage
15:00 GMT Liverpool  v  Tottenham Hotspur Anfield

Thursday, 27 March 2014

VPL: YANGA YAGARAGAZA PRISONS


Yanga jana iliigaragaza vibaya sana Tanzania Prisons mabao 5 kwa 0...Yanga ilikuwa inashambulia Prisons sana na kukosa nafasi nyingi tu za kupata magoli...Yanga bado iko nafasi ya pili wakikimbizana na Azam F.C. ambao wameshikilia kileleni kwa muda...Azam nao walishinda game yao na JKT Mgambo mabao 2 kwa 0...Sasa wana ponti 50 na Yanga 46...Kila timu lazima ishinde la sivyo ubingwa unayeyuka...

NBA: INDIANA YAIPOOZA HEAT


Indiana Pacers ilikuwa na mechi ngumu lakini kila wakipelekewas game wanajibu na mwisho wakashinda 84-83 katika game kali dhidi ya Miami Heat...Miami Heat wamepoteza game nyingi na hii ilikuwa game yao kushinda lakini hawakuwa makini na time management mwishoni...LeBron James alipata points 38 kwani kila akiruka au akiingia kwenye 'paint' anafanya mambo lakini alikuwa na upinzani mgumu kutoka kwa Paul George na Roy Hibert na timu nzima ya Pacers ambao pia walikuwa makini na kufunga wakati unaotakiwa ingawa walikuwa points 7 nyuma kipindi cha 4 waliweza kuibuka na ushindi baada ya Chris Bosh kujaribu kufunga na kukosa kabisa rim au wanasema 'air ball' kwa lugha ya basketball...Bofya hapa upate habari zaidi...

Wednesday, 26 March 2014

EPL: RATIBA YA MECHI ZA LEO

Wednesday, March 26, 2014
TimeHome AwayVenue
19:45 GMT West Ham United  v  Hull City Boleyn Ground
20:00 GMT Liverpool  v  Sunderland Anfield

EPL: ARSENAL YAPUNGUZWA KASI KIDOGO



Arsenal jana ilipunguzwa kasi yake ya kuwania ubingwa wa Uingereza baada ya kutoka sare 2-2 na Swansea...Wilfred Bony alianza kuona lango la Arsenal na baada ya hapo Arsenal walishindwa kufunda mpaka substitution ilivyo fanyika na Lukas Podolski alivyoingia ndio mambo yalivyo badilika...Katika sekunde 60 mabao mawili yalipatikana...Podolski na Giroud ndio wafungaji...lakini mwishoni Swansea walisawazisha katika goli moja la ajabu...Pata habari zaidi hapa...

EPL: REFA AOMBA RADHI


Refa Andre Marriner ameomba radhi kwa kosa la kumpa hatimaye kumtoa uwanjana mchezaji ambaye hajafanya kosa...Refa huyo alichemsha baada ya kumtoa Kiran Gibbs kwenye mechi ya Arsenal na Chelsea...Kosa hilo lilitokea baada ya Oxlade-Chamberlain kuunawa mpira kwa maksudi ndani ya box na kutopewa kadi na refa kumpa Gibbs kadi nyekundi...Pamoja na Chambarlaine kumwambia mwamuzi kwamba yeye ndio ametenda kosa refa hakutaka kumsikia...Mkongwe wa marefa kutoka Uingereza na World Cup (1974 Germany na 1978 Argentina) Clive Thomas amesema hana imani na marefa wa sikuizi na hao marefa wote wanne wa hiyo mechi ya Arsenal na chelsea wangefungiwa msimu huu wote...Bofya hapa upate habari zaidi...

EPL: MAN U HAWANA KIWANGO CHA KUCHEZA NA MAN CITY


Manchester United sasa inaonekana haina tena kiwango cha kucheza na timu kubwa za ligi ya Uingereza baada ya kudhihirisha hiyo jana wakati wakila kichapo cha Manchester City kwao...Bao la kwanza kabisa lilikuja mwanzo mwa dakika ya kwanza kutoka kwa Dzeko...Huyo huyo Dzeko alipachika cha pili mwanzo wa kipindi cha pili mnamo dakika ya 56...Yaya Toure alimalizia dakina za nyingeza na Man City iliondoka na pointi 3 na magoli 3...Hii imemweka kocha wa Man U David Moyes katika hali mbaya ya kutafakari kazi yake au abadilishe kazi labda akalime viazi au akavue samaki...Katika siku za mbele tutajua mambo yatavyo kwenda na club hiyo kubwa sana ya Manchester United...Bofya hapa pate mambo zaidi...

EPL: MATOKEO YA MECHI ZA JANA

Tuesday, March 25, 2014
StatusHomeScoreAwayVenue
FT Manchester United 0-3 Manchester City Old Trafford (75,203)
FT Arsenal 2-2 Swansea City Emirates Stadium (59,937)
FT Newcastle United 0-3 Everton St James' Park (47,622)

Monday, 24 March 2014

VPL: SIMBA CHALI

Coastal Union ya Tanga

Simba S. C. ilichapwa na Coastal Union ya Tanga bao 1-0...Hali hii inaifanya Simba kuanza kusahau ubingwa wa Premier Tanzania...Sehemu nyingine Azam waliweza kuendeleza ushindi baada ya kuwachapa JKT Oljoro 1-0 katika uwanja wa Chamazi Complex...

Sunday, 23 March 2014

NCAA MARCH MADNESS: SYRACUSE NJE


Mashindano ya NCAA kipindi hiki tumeona maajabu kwani timu kongwe na zenye ranking za juu zinatolewa mapema tu...Jana Syracuse ilitolewa na timu ndogo sana inayoitwa Dayton huko Buffalo New York...Game iliisha 55-53 baada ya point guard maarufu wa Syracuse Tyler Ennis kukosa kupachika mpira wavuni...Dayton wamengojea hii nafasi kwa miaka 30 sasa...Huko marekani wanaita ushindi kama huu 'Cinderella story' wakichukulia mfano kitabu cha watoto cha Cinderella...Bofya hapa upate habari hii kwa undani...

EPL: ARSENAL YAPOTEZA MECHI MUHIMU


Wakati timu ya Arsenal ikisherehekea game ya 1,000 ya kocha Arsene Wenger jana ilipoteza pointi tatu muhimu kwa Chelsea F.C. huko Stamford Bridge...Mechi ilianza kwa magoli mawili mapema ambayo iliona defence ya Arsenal kusambaratika vibaya...Mechi ilikuwa na vituko baada ya Oxlade-Chamberlain kunawa mpira kwa maksudi na mwamuzi kumpa Gibbs kadi nyukundu badala ya Chamberlain...Kosa hilo la refa ni gumzo mitandao yote ya habari duniani na inaleta hisia ya kuwa na haja ya tv replay kwenye games...Baada ya ubishi huo Hazard alifunga penalty na kufanya the blues wawe mbele magoli matatu...Pata habari zaidi hapa

NCAA MARCH MADNESS: DUKE GET STUNNED BY MERCER



Duke is a formidable team during the College Basketball season in America but was left dumbfounded after being beaten by Mercer (Bears) who are 14 seed in the ranking.

EPL: MATOKEO YA MECHI ZA JANA

Saturday, March 22, 2014
StatusHomeScoreAwayVenue
FT Chelsea 6-0 Arsenal Stamford Bridge (41,614)
FT Cardiff City 3-6 Liverpool Cardiff City Stadium (28,018)
FT Everton 3-2 Swansea City Goodison Park (36,260)
FT Hull City 2-0 West Bromwich Albion The KC Stadium (23,486)
FT Manchester City 5-0 Fulham Etihad Stadium (47,262)
FT Newcastle United 1-0 Crystal Palace St James' Park (51,588)
FT Norwich City 2-0 Sunderland Carrow Road (26,654)
FT West Ham United 0-2 Manchester United Boleyn Ground (34,237)

Friday, 21 March 2014

NCAA MARCH MADNESS: LOUISVILLE YATOKA NYUMA NA KUICHAPA MANHATAN


Timu ya kocha Rick Pitino, Louisville, jana iliweza kutoka nyuma na kuifunga Manhatan 71-64...Pitino hakutaka kuisikia Manhatan kabisa kwa kuwa ni timu yenye rank ya 13 na pia kocha wa Manhatan alikuwa kocha msaidizi wa Pitino...Pitino alikasirika timu yake ilivyopewa Manhatan kama mpinzani wake...Manhatan walicheza vizuri na kuwakimbiza mabingwa wa mwakajana Louisville mpaka kipindi cha mwisho kabla ya filimbi ma dakika 4 mpira kuisha walikuwa wanaongoza 58-55 lakini dogo mmoja kwa jina la Luke Hancock aliporuka na kupachika 3 points wakati saa inasema bado dakika 1 na sekunde 19...Pitino na timu yake watakutana na Saint Louis jumamosi...Bofya hapa upate habari zaidi....

Thursday, 20 March 2014

EPL: RATIBA YA MECHI ZA WEEKEND

Saturday, March 22, 2014
TimeHome AwayVenue
12:45 GMT Chelsea  v  Arsenal Stamford Bridge
15:00 GMT Cardiff City  v  Liverpool Cardiff City Stadium
15:00 GMT Everton  v  Swansea City Goodison Park
15:00 GMT Hull City  v  West Bromwich Albion The KC Stadium
15:00 GMT Manchester City  v  Fulham Etihad Stadium
15:00 GMT Newcastle United  v  Crystal Palace St James' Park
15:00 GMT Norwich City  v  Sunderland Carrow Road
17:30 GMT West Ham United  v  Manchester United Boleyn Ground
Sunday, March 23, 2014
TimeHome AwayVenue
13:30 GMT Tottenham Hotspur  v  Southampton White Hart Lane
16:00 GMT Aston Villa  v  Stoke City Villa Park

UEFA CHAMPIONS LEAGUE: MATOKEO YA MECHI ZA JANA NA JUZI

Wednesday, March 19, 2014
StatusHomeScoreAwayStageVenue
FT Borussia Dortmund 1-2 Zenit St Petersburg Round of 16 Signal Iduna Park (75,000)
FT Manchester United 3-0 Olympiakos Round of 16 Old Trafford (75,000)
Tuesday, March 18, 2014
StatusHomeScoreAwayStageVenue
FT Chelsea 2-0 Galatasaray Round of 16 Stamford Bridge (43,000)
FT Real Madrid 3-1 Schalke 04 Round of 16 Santiago Bernabeu (61,000)

NCAA: MARCH MADNESS BRACKET


UEFA CHAMPIONS LEAGUE: VAN-PERSIE NA DE GEA WAIOKOA MAN UNITED


Mechi ya jana ilikuwa yakushangaza kwani Manchester United walikuwa chini kwa aggrigate ya mabao 2 lakini sijui walisali sana au zali tu jana walifanikiwa kupata mabao matatu yote kutoka kwa Van-Persie (mchezaji wa zamani wa Arsenal)...Van-Persie alipachika mabao hayo mnamo dakika za 25 (penalty), 45, na 51...Moyez sasa anapumua kutakana na ushindi huu kwani walitoka kufundishwa soka na Liverpool na kuchapwa 3-0 agame iliyopita...David De Gea alisaidia kupangua shuti mbili ambazo hakika zilikuwa on target moja ilikuwa kichwa na nyingine kupangua shuti la Domininguez...Sasa Man U wameingia robo fainali ya michuano hiyo mikali...

Wednesday, 19 March 2014

MOTOGP: MSIMU UNAANZA WEEKEND


Kwa wale wapenzi wa mashindano ya pikipiki MotoGP watafurahi kusikia msimu wa mwaka huu unaanza jumapili weekend hii...MotoGP mwaka huu ambayo itaanza huko Losail Qataar itakuwa na racing circuit mpya huko Argentina...Bingwa wa MotoGP mwaka jana Marc Marquez katika jaribio lake la kwanza alishinda mashindano hayo na mwaka huu ni mmoja wa watu wanaotazamiwa kufanya vizuri japo alivunja mguu mwezi uliopita...Pata habari za MotoGP hapa

NBA: LEBRON AIZAMISHA CAVS


King James (MVP) jana aliizamisha Cleveland Cavaliers kutokana na shots zake kuzama kwenye net kila anaporuka...LeBron alipata points 43 ambazo ni rekodi ambayo anayo...MVP huyo aliamua kuibeba timu yake hasa kutokana na Dwayn Wade kupunzisha goti...Quarter ya kwanza tu alipata points 25...Alisaidiwa na Chris Bosh ambae alipata points 21 na game iliisha kwa ushindi wa 100-96...Bofya hapa upate habari za King James

UEFA CHAMPIONS LEAGUE: CHELSEA YASONGA MBELE



Chelsea F.C. jana ilisonga mbele na kuingia robo fainali ya michuano mikali ya Champions League...Chelsea ni timu ya kwanza ya Uingereza kuingia robo fainali mwaka huu...Galatasaray walichapwa 2-0 na Chelsea kaika game ambayo ilionyesha udhaifu wa Galatasaray...Samuel Etoo alipachika bao zuri mapema mnamo dakika ya 4...Baada ya hapo Chelsea walikuwa imara na kupata bao la 2 kutoka kwa Gary Cahill dakika ya 42...Sasa ni mara ya 6 Roberto Mancini boss wa Galatasaray ameshindwa kumfunga Jose katika mechi za Europe...Pata babari zaidi hapa

VPL: SIMBA SASA KUWA NA RAIS


Simba S. C. wana wa msimbazi katika mkutano wao uliofanyika Police Officers Mess jiji Dar es Salaam chini ya usimamizi wa Chairman Ismail Aden Rage (Mbunge wa Tabora) ulikubali kubadilisha katiba ya club kwa kutoa Chairmanship na kuweka President na Vice-President...Kwahiyo mabadiliko yatapelekwa kwa mratibu wa association za michezo Tanzania ili irekebishwe...Issue nyingine iliyokuwa ya moto kwenye hicho kikao ni ile ya maximum wanachama 250 au 500 kwa kata na branch ziongezwe...Mzozo ulikuwa mkubwa mpaka watu wakavamia meza ya viongozi lakini Rage alitumia busara na aliwatuliza na kuwaambia wapige kura na kura zilipigwa walioshinda ni wale waliotaka watu wasizidi 250 kwa kata...Bofya hapa upate habari zaidi....

Tuesday, 18 March 2014

NBA: HISTORIA - TIMU AMBAYO IMESHINDA MARA NYINGI MFULULIZO KOMBE LA NBA


Boston Celtics ndio timu pekee ambayo imeshinda kombe la basketball mara nyingi mfululizo...

Celtics wameshinda mara 8 kuanzia 1959 mpaka 1966...Wanasema hii rekodi haitovunjwa kutokana na ugumu wa ligi ya NBA...

TRACK & FIELD: MO FARAH IS WELL AFTER FALLING TWICE


Mo Farah is doing fine after falling twice during the New York Half Marathon.

LA LIGA: MSIMAMO WA LIGI MPAKA SASA

Position Team Played Goal Difference Points
1 Real Madrid 28 51 70
2 Atlético Madrid 28 43 67
3 Barcelona 28 59 66
4 Athletic Bilbao 28 19 52
5 Real Sociedad 28 10 46
6 Villarreal 28 14 45
7 Sevilla 28 8 44
8 Valencia CF 28 0 36
9 Espanyol 28 -2 36
10 Levante 28 -9 36
11 Celta de Vigo 28 -6 33
12 Granada CF 28 -12 31
13 Elche 28 -16 30
14 Málaga 28 -10 29
15 Osasuna 28 -24 29
16 Rayo Vallecano 28 -30 29
17 Getafe 28 -19 28
18 Real Valladolid 28 -18 26
19 Almería 28 -25 26
20 Real Betis 28 -33 19