Tuesday 21 January 2014

SOCHI OLYMPICS: JAMAIKA YARUDI TENA BAADA YA KUPOTEA MIAKA 12


Timu ya Jamaica ya kuteleza kwenye barafu (Bobsleigh) imepata nafasi ya kuingia kwenye Winter Olympics huko Sochi Urusi....Jamaica kwa maraya ya kwanza waliweza kupata nafasi ya kushindana mwaka 1988 huko Calgary Canada mpaka badae ikatengenezwa filamu kuhusu hiyo timu ambayo ilitolewa na kampuni ya Disney na iliitwa 'Cool Runnings'....Mara ya mwisho kupata nafasi ilikuwa Olympics huko  Salt Lake City Marekani mwaka 2002...Bofya upate habari zaidi..

No comments:

Post a Comment