Wednesday 22 January 2014

AUSTRALIAN OPEN: ANDY MURRY ATAKUTANA NA ROGER FEDERER KWENYE ROBO FAINALI



Michuano ya tennis inaendelea kusisimua mashabiki huko Melbourne Australia na sasa Andy Murry atakutana na Roger Federer kwenye robo fainali leo...Roger Federer ambaye alichapa vibaya sana Jo-Wilfred Tsonga kwa straight sets na kuonesha dunia kwamba yuko fiti sana kama miaka ya nyuma na sasa kambi ya Andy Murry inabidi wajipange sana kwa game ya leo...


Andy na Roger wamekutana mara 20 na kati ya mikutano yao Andy ndio mshindi mara 11 kwa 9...Usikose kuangalia mchuano huu leo...Bofya hapa usome zaidi...

No comments:

Post a Comment