Tuesday 28 January 2014

GOLF: SCOTT STALLINGS ASHINDA TORREY PINES


Scott Stallings kutoka Marekani ameshinda mashindano ya Farmers Insurance Open katika viwanja vya Torrey ines huko California Marekani...Scott alipata 'birdie' katika shimo la 18 ambalo ndio la mwisho na kuchukua kombe kwa stroke moja...Watu watano wameshika nafasi ya pili ambao ni Pat Perez kutoka Marekani, KJ Choi kutoka South  Korea, Graham DeLaet kutoka Canada, Jason Day na Marc Leishman kutoka Australia...

No comments:

Post a Comment