Monday 13 January 2014

EPL: LIVERPOOL YAIZAMISHA STOKE CITY


Liverpool jana iliigaragaza Stoke City mabao 5 kwa 3 katika uwanja wa Stoke...Liverpool pia ameweka rekodi ya kuifunga Stoke City kwao kwa mara ya kwanza...Suarez alipata mabao 2 (32', 71'), Geraard alifunga penalty (51')  na Sturridge (87') na pia kulikuwa na own goal dakika ya 5...

England international Sturridge alikuwa hajacheza toka Novemba na akaingizwa dakika ya 66 na baada ya dakika 5 alimsaidia Suarez kupachika bao...Sasa Liverpool wako pointi 5 chini ya Manchester City ambao wanaongoza ligi sasa...Bofya hapa upate habari zaidi...

No comments:

Post a Comment