Thursday 16 January 2014

AUSTRALIAN OPEN: MICHEZO YASIMAMISHWA KUTOKANA NA JOTO KALI


Michezo ya Tennis ilisimamishwa jana kutokana na jua kali sana huko Melbourne Australia...Joto lilkizidi sana na kufikia Celsius 42.2 na kulazimisha waandaaji wa michezo hiyo kusimamisha mechi zote kwenye courts ambazo ziko wazi mpaka joto lipungue...Mdada mmoja ambaye ni mchezaji mkali sana Alize Cornet alibaki analia baada ya kupumzika kati ya mechi yake dhidi ya Camila Giorgi...Mchezaji mwingine Frank Dancevic kutoka Canada alizimia juzi na kupatiwa huduma ya kwanza...

No comments:

Post a Comment