Tuesday 7 January 2014

NFL: COLTS YATOKA NYUMA POINTI 29 NA KUSHINDA MECHI DHIDI YA CHIEFS


Watu hawakuamini kilichotokea...mashabiki wa pande zote uwanjani hawakuamini walichoona na pia hawakuamini matokeo ya mwisho ya mechi kali kati ya Colts na Chiefs...Sijui ni bahati au ni juhudi za QB lakini habari ndio hiyo...Kihistoria hii game ni mara ya pili kwa timu kutoka nyuma sana na kushinda...QB alirusha touchdown 4 kipindi cha pili...Half time walikuwa chini 31-10...Takwimu za mchezo kutoka ESPN ziliipa Colts asilimia 3.6 kushinda game...Bofya hapa upate habari zaidi...

No comments:

Post a Comment