Thursday 9 January 2014

LEAGUE CUP: WEST HAM YABUGIA MAGOLI TENA


West Ham United kwa mara nyingine yachapwa magoli mengi katika kipindi kifupi na kufanya mashabiki wake waanze kumchukua kocha wao Allardyce ...Kipindi hiki ni kichapo kutoka kwa Manchester City cha 6-0...Alvaro Negredo alipata 'hat-trick' na kuifanya Manchester City kupata magoli 59 kati ya mechi 15 za nyumbani..Magoli mengine yalitoka kwa Yaya Toure na Dzeko...Defence ya West Ham haikufua dafu kwa attacking skills za Man City ambazo huwa zinabadilika mara kwa mara...Bofya hapa kwa habari zaidi...

No comments:

Post a Comment