Tuesday 7 January 2014

SOCCER: EUSEBIO AZIKWA SALAMA HUKO PORTUGAL NA MAELFU WAJITOKEZA KUMSINDIKIZA.



Football legend Eusebio amezikwa na maelfu na maelfu ya wapenzi wake na wananchi wa Portugal na dunia nzima huko Portugal...




Amezikwa mara baara ya jua kuzama katika makaburi ya Lumiar ambayo yako kaskazini mwa Lisbon.

Kabla ya kuzikwa mwili wake ulipitishwa mjini na kupelekwa uwanja wa Benfica (Luz Stadium) ambako watu wakijipanga mtaani na kumuaga pia uwanja ulijaa watu wengi sana.


Mwili wake ulipelekwa katikati ya uwanja na ulifunikwa na rangi ya Benfica.


Watu wengi  alirusha maua mengi na kupiga makofi kwa kumshukuru Eusebio.

Pia waziri mkuu Pedro Passos Coelho alijitokeza kumuombea Eusebio katika misa kwenye kanisa la Seminary hapo mjini.


Rais wa zamani wa Mozambique Joaquim Chissano amesema amepoteza rafiki...Soma zaidi hapa...

No comments:

Post a Comment