Friday 24 January 2014

EPL: MOHAMED SALAH KWENDA CHELSEA


Mohamed Salah, miaka 21,  kutoka mabingwa wa uswiss Basel ataelekea Chelsea muda si mrefu...Salah anatokea Egypt na nafasi yake uwanjani ni midfielder bado haja pewa uangalizi wa daktari ili apewe go ahead...Chelsea wanamchukua kwa pond za Uingereza milioni 11...Bofya hapa upate habari zaidi...

No comments:

Post a Comment