Monday 27 January 2014

CHAN 2014: NIGERIA NA ZIM WAINGIA NUSU FAINALI


Nigeria imeingia nusu fainali ya michuano ya mataifa ya Afrika huko Afrika ya kusini...Zimbabwe pia imeingia nusu fainali...Nigeria ilitoka 3 bila kabla ya half time na Ejike Uzoenyi alisawazisha dakika ya 90 na baada ya hapo Aliyu Ibrahim alipachika bao la ushindi zikiwa zimebakia  dakika 9 za nyongeza... Zim nao ilikuwa ngumu sana lakini waliichapa Mali 2-1...

No comments:

Post a Comment